Pages

Ads 468x60px

Labels

Monday 23 June 2014

Show Ya kili mkoani Iringa

Watanga zaji wa EATV,Sam misago na Dullah kwenye stage ya kili tour iringa.


Snura akiwa kwenye stage ya kili tour.

Snura akiwa kwenye jukwa la kili tour mkoani iringa.


Izo biziness akiwa na rich mavoko wakiwa kwenye back steji

Msanii wa kike mwasiti akiwa kwenye jukwaa la kili tour mkoani iringa




Mtangazaji wa EATV.Dickson msami akiwa namuhoji rich mavoko.






Prof: jay akisubiri kupanda kwenye stage

Prof:jay akiwa kwenye stage ya kili tour

Mashabiki wa mkoa wa iringa akionesha tisht iliyo kuwa ikimkumbuka ngweir

Mwana fa akiwa na G nako, kwenye jukwaa la kili tour iringa.

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates